Nyumba inapangishwa Tabata Segerea oilcom

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea oilcom

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
Nyumba inapangishwa maeneo ya oilcom ina sifa zifuatazo
>ina vyumba vitatu ambavyo moja ni self contained room na public toilet ilioko ndani
>kila chumba lina kabati lakuwekea nguo na vitu vinginevyo
>parking yakutosha magari matatu
>ina sitting room,dinning room, store room na kitchen room
>maji yapo yakutosha kutokana na tank ya maji iliopo..bomba la mvua
kodi ni 500,000 na mteja naruhusiwa kulipa miezi kuanzia 3, 6 au 12.
kwa masiliano zaidi 0717 022737
karibuni
 

Attachments

  • IMG-20140817-WA0040.jpg
    IMG-20140817-WA0040.jpg
    54.6 KB · Views: 298
  • IMG-20140817-WA0045.jpg
    IMG-20140817-WA0045.jpg
    67.4 KB · Views: 284
  • IMG-20140817-WA0043.jpg
    IMG-20140817-WA0043.jpg
    27.6 KB · Views: 269
  • IMG-20140817-WA0044.jpg
    IMG-20140817-WA0044.jpg
    44.8 KB · Views: 266
  • IMG-20140817-WA0048.jpg
    IMG-20140817-WA0048.jpg
    43.8 KB · Views: 260
  • IMG-20140817-WA0041.jpg
    IMG-20140817-WA0041.jpg
    65.9 KB · Views: 265
  • IMG-20140817-WA0046.jpg
    IMG-20140817-WA0046.jpg
    30.5 KB · Views: 256
  • IMG-20140817-WA0047.jpg
    IMG-20140817-WA0047.jpg
    34 KB · Views: 250
  • IMG-20140817-WA0051.jpg
    IMG-20140817-WA0051.jpg
    40.4 KB · Views: 257
  • IMG-20140817-WA0050.jpg
    IMG-20140817-WA0050.jpg
    41.6 KB · Views: 249
  • IMG-20140817-WA0053.jpg
    IMG-20140817-WA0053.jpg
    42.4 KB · Views: 250
  • IMG-20140817-WA0008.jpg
    IMG-20140817-WA0008.jpg
    53 KB · Views: 257
  • IMG-20140817-WA0007.jpg
    IMG-20140817-WA0007.jpg
    70.4 KB · Views: 263
Kodi hii inajumuisha na kunipa mchele ,unga ,samaki na nyama na bili ya maziwa kila mwezi?
 
Laki tano na madirisha mmeweka nyavu kama banda la kuku..acheni tamaa ya pesa nyingi ...
 
Nyumba chafu labda ni hiyo rangi ya nje ndio unadanganyia watu, laki5 nyumba madirisha ya nyavu, haina tiles, vyoo vichafu km vya stand, nyie madalali mna matatizo sana. Hapo mwenye nyumba utakuuta anataka 250000 tu kwa mwezi we umeamua kuongeza
 
Kama hiyo mnaiona bei kubwa basi kwa wenye esa chini ya hiyo ani PM kuna nyumba kali kinyerezi inapangiswa.


Bandugu ujenzi wa siku hizi ni shughuli pevu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom