Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master, dinning, sitting, jiko, store na public toilet. Garage kwa ajili ya kulaza gari, pia kuna parking ya kutosha, maji ni muda wote mpaka ndani, umeme ni LUKU ya kwako.
Pia imezungushiwa uzio, kodi ni laki tano (500000) kwa mwezi.