BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Tumeiona kwenye pichaKuiona nyumba 10,000!!?
acha kuharibu biashara ya watu, be serious sometimesKuiona nyumba 10,000!!?
Unashangaa nini sasa, tatizo mmeshazoea kula kulala kwa mashemeji zenu!Hahahah elfu 10
Hujawahi kupanga na hauna pesa ya kupanga wewe!Kuiona nyumba 10,000!!?
tafuta utaratibu mzuri ambao utakufanya kuwa na wateja wengi.kwa kupitia hapa hapa jf.kuonesha nyumba na pia wakikubali mtu anakulipa na inakuwa rahisi hata hakija si kuja kuona bali kulipa tu.House 4 Rent TABATA Kinyerezi [HASHTAG]#songas[/HASHTAG]
[emoji117]2 Rooms
[emoji117] public Toilet
[emoji117]sitting Room
[emoji117]kitchen
[emoji117]Fence&Parking
[emoji117]slide windows
[emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668]
iko Tabata Kinyerezi Songasi
Price:200,000Tsh. Per month
cond of Pymnt: (6 month)
Ni Apartment Ila Kila nyumba inajitegemea kwa kila kitu
[emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668]
Dalali yangu ni mwezi mmoja
Kuiona nyumba tsh 10,000, husipoipenda nitakutafutia utakayoipenda kwa hela Hiyohiyo
Whtsp/call/mob:
[emoji336]+255718295182/+255625480963
+255753254562
______________________________
Nitumie tangazo la nyumba, viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure
wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.com
_____________________________
Bango
Duuuu Mzee jambo dogo unawaka hatari...au kapiga za chembe nini?anyway mtoa mada yupo sahihi huwa wanatucharge madalali wakati wakutuonyesha nyumba,inategemea na maeneo wengine ni 5000 tu ...Mpumbavu wewe, uliniona wapi
mpumbavu kabisa wewe. Mshenzi tena wa mwisho. Hapa kila mtu ana uhur wa kutoa maon yake, kama wewe unaona sawa kutoa, toa ...usitake kila mtu kufanana na mawazo yako...
pumbavu sana. Uwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapo. Ni nani humu jamii forum ulishamuona akilala na shemeji yake kisa kushangaa kuchajiwa hela ya kuangalia nyumba ya kupanga ilipo...hapo bado kuna hela ya kodi ya mwez mmoja mteja akikubal nyumba yenyewe,,tamaa za hela tu zimewajaa mnasingizia kulala na mashemeji...pumbavu...ndo uwezo wenu wa kufikiri umeishia hapo.
Mkuu huyu dogo niachie dawa yake me ninayoDuuuu Mzee jambo dogo unawaka hatari...au kapiga za chembe nini?anyway mtoa mada yupo sahihi huwa wanatucharge madalali wakati wakutuonyesha nyumba,inategemea na maeneo wengine ni 5000 tu ...
Acha njaa zakoKuiona nyumba 10,000!!?
Hahahahah mkuu usimpe dawa muelimishe tu ...Yawezekana hajawahi kupanga au anaishi mkoani huko kolomoje hajui mjini watu wanaishijeMkuu huyu dogo niachie dawa yake me ninayo
Mkuu huyu dogo niachie dawa yake me ninayoDuuuu Mzee jambo dogo unawaka hatari...au kapiga za chembe nini?anyway mtoa mada yupo sahihi huwa wanatucharge madalali wakati wakutuonyesha nyumba,inategemea na maeneo wengine ni 5000 tu ...
Umesema sawa kabisa mkuu, mtu ambaye hajawahi kupanga hawezi kuelewa haya mambo badala yake atafikiria ni wizi, siku atakayokuja kuwaza kupanga ndio atafahamu hawa MADALALI wana value gani.Hahahahah mkuu usimpe dawa muelimishe tu ...Yawezekana hajawahi kupanga au anaishi mkoani huko kolomoje hajui mjini watu wanaishije
Mkuu elfu 10 kukupeleka nyumba ilipo ila hiyo gharama haipo kama utalipia nyumba siku hiyohiyoMpumbavu wewe, uliniona wapi
mpumbavu kabisa wewe. Mshenzi tena wa mwisho. Hapa kila mtu ana uhur wa kutoa maon yake, kama wewe unaona sawa kutoa, toa ...usitake kila mtu kufanana na mawazo yako...
pumbavu sana. Uwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapo. Ni nani humu jamii forum ulishamuona akilala na shemeji yake kisa kushangaa kuchajiwa hela ya kuangalia nyumba ya kupanga ilipo...hapo bado kuna hela ya kodi ya mwez mmoja mteja akikubal nyumba yenyewe,,tamaa za hela tu zimewajaa mnasingizia kulala na mashemeji...pumbavu...ndo uwezo wenu wa kufikiri umeishia hapo.
Ukishaoneahwa nyumba na Ukalipia ,hiyo gharama ya elfu 10 haipo chieftafuta utaratibu mzuri ambao utakufanya kuwa na wateja wengi.kwa kupitia hapa hapa jf.kuonesha nyumba na pia wakikubali mtu anakulipa na inakuwa rahisi hata hakija si kuja kuona bali kulipa tu.