Nyumba inapangishwa tabata kimanga

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata kimanga.. Ina sifa zifuatazo...ina vyumba 2 ambavyo kimoja ni master bedroom na kingine kinatumia public toilet...ina sebule ya kubwa na jiko la ndani...kodi ni 200,000 kwa mwezi na kodi inapokelewa kwa miezi 6..kwa masiliano zaidi nicheki 0717 022737 na pia iko ndani ya fence
 
Kula kodi ya mwezi mmoja kwanza kisha baada ya mwezi mmoja umepewe salio lililobakia.
Hapo vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…