Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,146
- 371
Ipo Tabata barakuda. Ina vyumba vitatu vya kulala, kimojawapo kikiwa master, choo na bafu kwa ajili ya vyumba vingine viwili na wageni, sebure na sehemu ya kulia chakuka, jiko na store na choo cha nje. kodi sh 400,000 kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi au kuiona piga simu 0784225000. kwa nyumba zingine tembelea Kitomai Property and Real Estate Tanzania
NOTE:
UKARABATI UNAENDELEA





NOTE:
UKARABATI UNAENDELEA