Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,146
- 371
Ina vyumba vitatu vya kulala, master bedroom, vyumba vingine viwili vyoo vya kushea. In sehemu ya meza ya chakula, jiko na store, choo cha nje, vyumba vyote vina tiles, juu gypsum, imezungushiwa na uzio, ina huduma ya umeme na maji, ina parking ya kutosha magari manne. kodi sh 400,000 kwa mwezi. Anahitajika mteja wa muda mrefu kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. kodi ya mwaka. Mpangaji atamlipa dalali kodi ya mwezi.
Kwa maelezo zaidi: 0784225000.
Kwa maelezo zaidi: 0784225000.