Mkuu,
Unapangisha nyumba ama fence ya nyumba?
Picha haijitoshelezi, tunaona roof tu na mi-ashok nje ya fence.
Tupia picha zaidi za ndani ya fence na muhimu zaidi za ndani ya nyumba...
Tunaogopa kuuziwa mbuzi ndani ya gunia mkuu... Au kupangishwa nyumba kwa mwonekano wa nje!