Nyumba inapangishwa pugu kajiungeni.

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,500
2,000
Husika na kichwa cha habari.
Nyumba ipo pugu kajiungeni maeneo ya kwa mwema, mbele kidogo ya shule ya msingi pugu kajiungeni.

Nyumba yenye vyumba vitatu,sebure,chumba cha kulia(dinning room).

Chumba kimoja wapo kati ya hivyo vitatu ni mastebed room(kina choo na bafu), vile vile ndani ya nyumba hiyo kuna choo na bafu kwa matumizi wa watu wengine tofauti na watu wanaotumia masterbed room.

Nyumba imezungushiwa uzio, ina mageti mawili geti kubwa la mbele na geti dogo la uani.
Uani kuna choo na bafu.
Kuna simu tank kubwa la kutunzia maji lita 7,000.

Pia kuna kisima kikubwa chenye maji ya mvua zaidi ya lita 8,000, maji haya huvunwa kila mvua inaponyesha kutoka kwenye gata iliyotengenezwa kuzunguka nyumba yote.

Nyumba ina umeme na tiles vyumba vyote,sebureni,jikoni,dinning room na kwenye vyoo vyote.
Nyumba ina madirisha ya vioo vyeusi.

Kuna nafasi ya kulaza magari madogo takribani mawili ndani ya geti.
Pia njia ipo kutoka barabara kuu ya lami.

Bei kwa mwezi Tsh 350,000 (mazungumzo yapo), malipo ni kuanzia miezi 6 na miezi 12.
Hakuna dalali.

Mawasiliano: 0758 777 552 au 0653 949 982.
Picha nitaweka baadae kidogo au unaweza kunicheki kwenye hiyo namba ya voda nikutumie whatsapp.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom