Nyumba inapangishwa Mwananyamala

Nyumba inapangishwa Mwananyamala

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Ina Vyuma 2 vya kulala kimoja ni master, Sitting room, ina LUKU yake yenyewe iko getini na nikaribu kutokabarabarani hakuna taabu ya usafiri. Bei ni 180,000/= kwa mwezi. Kwa mwenye kuhitaji utanipa namba inbox au wall nitakucheck
 
Mwenye kuhitaji nyumba ndo aseme ila mwenye upuuzi si muhimu sana kuchangia
 
Mwananyamala ni kubwa, komakoma, hospitali, kisiwani, manjunju, kwa kopa, mama zakaria, nyumba iko wapi mkuu?
 
sawa naomba tuwekee
picha tafadhali na pia kodi anataka ya mwaka au miezi sita? na iko mwananyamale ipi? koma koma , manjunju au kwa kidile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom