Nyumba Inapangishwa Mtoni Kijichi.

Nyumba Inapangishwa Mtoni Kijichi.

Joined
Sep 6, 2011
Posts
28
Reaction score
5
Nyumba ya vyumba ya kupanga inapatikana, vyumba viwili vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo na bafu. Tuwasiliane kwa namba 0712 477976, ulizia geoffrey.
 
Wapi na tsh ngapi. Acheni mambo ya kufichaficha ukwel.
 
Ni pale Mtoni Kijichi karibu na CCM, kodi ni shs. 170,000 kwa mwezi na ni kwa miezi 6. Mapatano yapo.
 
Iko katika hali nzuri? Ina parking? Hamna kujuana?
 
Iko katika hali nzuri yeah, kujuana sija kuelewa first in first out principle,parking kubwa tu. Well, kama uko interest tunaweza panga appointment.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom