Nyumba inapangishwa- mbezi beach samaki wabichi

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Nyumba ina vyumba 4 vya kulala iko maeneo ya mbezi beach samaki wabich na iko barabarani. Nyumba imezungukwa na huduma zote muhim kama vile hospital na nyinginezo, ina maji na umeme.
Kama utapenda kuiona ni PM ili upate maelezo zaidi na mawasiliano
KARIBUNI SANA..............
 
picha.....
bei kwa mwezi.....????
 
picha.....
bei kwa mwezi.....????

ni bora kuja kuona mwenyewe kuliko kutegemea picha si dhani kama itasaidia............... Kwa mwezi 600000 ila kama muhitaji unaweza kuja tuongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom