collinswilliam63
Member
- Oct 12, 2014
- 78
- 48
Habarini,
Nyumba inapangishwa maeneo ya Tegeta Nyaishozi na ina tiles, vyumba vitatu na Master bedroom. Umeme na maji vipo na vyote ni vya uhakika na imezungushiwa ukuta na ina geti. Eneo la nyumba linaruhusu kupaki gari zaidi ya moja na kuna servant quarter ambayo unaweza kutumia kama chumba cha wageni au stoo.
Umbali toka Nyaishozi kituo cha basi mpaka kwenye nyumba ni approximately 1 Kilomita
Kodi ni T.Shs. 550,000 kwa mwezi na tunapokea kodi ya miezi 6 au mwaka mzima
Ahsante