Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

zebanga watelanga

JF-Expert Member
May 3, 2013
862
398
toyota noah
Bei:8,850,000
Mwaka: 2003
Aina ya Mafuta: petrol
Umbali: km 116,003
Injini 1998
Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali
ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa
Linapatikana ,,,,,,,,Kaliakoo Dar es salaam
0755984282

IMG-20160108-WA0004.jpg

IMG-20160108-WA0003.jpg

IMG-20160108-WA0001.jpg

IMG-20160108-WA0002.jpg

IMG-20160108-WA0005.jpg

IMG-20160108-WA0006.jpg

IMG-20160108-WA0008.jpg
 
toyota noah
Bei:8,850,000
Mwaka: 2003
Aina ya Mafuta: petrol
Umbali: km 116,003
Injini 1998
Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali
ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa
Linapatikana ,,,,,,,,Kaliakoo Dar es salaam
0755984282
Chukua 7 mkuu
 
Nahitaji scania tipper kwa jina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam

sifa
Liwe tani 17 kuendelea mbele
Liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali ni vizuri zaidi, ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
Bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana na ubora wa gari

NB:
Imetembea km ngapi?
Ya mwaka gani?
Na tan ngapi?

Mawasiliano
Simu 0712690760 au 0755984282
 
naitaji scania tipper kwajina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam
sifa
liwe tani 17 kuendelea mbele
liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali nivizuri zaidi/ ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana naubora wagari
Mawasiliano
simu 0712690760 au 0755984282
Which location do you available?
 
Nahitaji scania tipper kwa jina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam

sifa
Liwe tani 17 kuendelea mbele
Liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali ni vizuri zaidi, ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
Bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana na ubora wa gari

NB:
Imetembea km ngapi?
Ya mwaka gani?
Na tan ngapi?

Mawasiliano
Simu 0712690760 au 0755984282
Ipo ya milioni 70
 
Weka details zake kwa urefu mkuu, ikipatkana mbali na nyumbani unaweza igharamia nikutumie..??
 
OFFER NOW 2015 LAND CRUISER PRADO NEW BRAND
YANAPATIKANA DAR ES SALAAM --- SINZA
imelipiwa nakodi 139,000,000
Aina ya Mafuta: PETROL
Umbali: km 0
Injini (cc): 2700
Transmission: AUTOMATIC
VITI VYANGOZI , 3 SCREEN, 4CAMERA, SUNROOF
VILEVILE UNAWEZA WEKA ODA
0712690760
 
Attachments

  • IMG-20151011-WA0015.jpg
    IMG-20151011-WA0015.jpg
    83.2 KB · Views: 68
  • IMG-20151115-WA0018.jpg
    IMG-20151115-WA0018.jpg
    51.1 KB · Views: 85
  • IMG-20151115-WA0012.jpg
    IMG-20151115-WA0012.jpg
    56.9 KB · Views: 87
  • IMG-20151111-WA0020.jpg
    IMG-20151111-WA0020.jpg
    72.7 KB · Views: 80
  • IMG-20151111-WA0021.jpg
    IMG-20151111-WA0021.jpg
    72.2 KB · Views: 72
  • IMG-20151111-WA0019.jpg
    IMG-20151111-WA0019.jpg
    20.5 KB · Views: 76
  • IMG-20151011-WA0034.jpg
    IMG-20151011-WA0034.jpg
    108.2 KB · Views: 77
Bei kubwa sana.
Pili TRA watahoji nlipozipata hizo fedha.

Tatu,hiyo hela bora kwekeza kwenye Duka la Spea na kupata fedha zaidi.

Nne,Hiyo ni anasa kwenye nchi ambayo watu wanaishi kwenye nyumba za tembe kutembelea mil 139.

Tano,Bora ukatoe sadaka kanisani hiyo hela ieneze injili
 
OFFER NOW 2015 LAND CRUISER PRADO NEW BRAND
YANAPATIKANA DAR ES SALAAM --- SINZA
imelipiwa nakodi SH 139,000,000
Aina ya Mafuta: PETROL
Umbali: km 0
Injini (cc): 2700
Transmission: AUTOMATIC
VITI VYANGOZI , 3 SCREEN, 4CAMERA, SUNROOF
VILEVILE UNAWEZA WEKA ODA
0712690760
 
Attachments

  • IMG-20151011-WA0015.jpg
    IMG-20151011-WA0015.jpg
    83.2 KB · Views: 129
  • IMG-20151115-WA0018.jpg
    IMG-20151115-WA0018.jpg
    51.1 KB · Views: 137
  • IMG-20151115-WA0012.jpg
    IMG-20151115-WA0012.jpg
    56.9 KB · Views: 124
  • IMG-20151111-WA0021.jpg
    IMG-20151111-WA0021.jpg
    72.2 KB · Views: 115
  • IMG-20151111-WA0020.jpg
    IMG-20151111-WA0020.jpg
    72.7 KB · Views: 120
  • IMG-20151111-WA0019.jpg
    IMG-20151111-WA0019.jpg
    20.5 KB · Views: 118
  • IMG-20151011-WA0034.jpg
    IMG-20151011-WA0034.jpg
    108.2 KB · Views: 126
  • Thanks
Reactions: MC7
ASANT HUO NAO PIA USHAURI KWASAS BONGO KUNA MAGARI MPAK YA MILL 500 NAKUENDELEA MARANYINGI UKIWAZA MTAJI MILL 1 NDIO ULIO NAYO NANAYE WAZA BILL 2 NIMTAJI PIA YUPO SAHII KWAKUWA NDIO ANAYO "BWANA JAJI MFAWIDHI"
 
Umevamia kijiji hapa simahali pake peleka matangazo madogomadogo huko hii gari bei kubwa!Kama wewe ni Dalali inamaana umeisha choka kutembeza!
 
Back
Top Bottom