Nyumba inapangishwa kwa 100,000

Nyumba inapangishwa kwa 100,000

bullion

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
309
Reaction score
112
Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni, umeme baada ya mwezi au miwili
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu

Karibuni wadau
 
Bei imeshuka...ngoja niendelee kusubr inaweza kufika 20 hiyo
 
Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni, umeme baada ya mwezi au miwili
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu

Karibuni wadau
Tuwasiliane
 
Picha ilivyo kwanza ndio utapigiwa simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom