Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Weka bei kiingozi kwa faida ya wote
Weka bei kiingozi kwa faida ya wote
Wee jamaa anataka hiyo hela yako ya kwenda kukuonesha nyumba
Nyumba bado haijachukuliwa, yeyote anaehitaji KARIBU SANA.
Nyumba bado haijachukuliwa, yeyote anaehitaji KARIBU SANA.
Usiogope, tuma msg au njoo uione nyumba... Bei rahisi sana!!
weka picha na bei
Weka bei na picha, acha kuzunguka mbuyu wewe.
Bei imekuwa siri, haya basi tuambie umbali toka barabarani
Sina picha boss, ila ni nzuri kwa mrembo km wewe... Bei reasonable, serious tenants watatext kuulizia.
Huyu jamaa ni tapeli!
Bei hataji, picha hataki kuweka.
Mi nakaaa kimara mwisho Bonyokwa nakufahamu na kuelekea king'0ng'0 ndo mwenyeji...Sasa niajie ipo wapi bei gani na kuna mtu anahihitaji nyumba.
Tumia busara unapojibiwa kibusara, nimekueleza mambo ya msingi, juu ya wewe kupata mtu kwa haraka, unajibu use.ng* hapa jitafakali, your verified user.