Nyumba inapangishwa Jijini Mwanza

Kumbe Mwanza ni mji wenye maisha rahisi sana, Nyumba ina geti, fence, vyumba vya kumwaga, umeme, maji, tiles, madirisha ya alluminium, parking na rangi kwa bei ya 250,00 kwa mwezi ???
Sasa huko chumba uswahilini si itakua sh 10,000 tu.

Nahamia Mwanza
 

jangwani, manzese chumba bei gani kwa mfano.
 

Ha ha haaa,karibu sana mwanza kiongozi wangu
 
Habari wakuu,

Nyumba inapangshwa jijini Mwanza ina rooms tatu ikiwemo master room,dinning,pamoja na jiko pia imezungushiwa fensi bei ni 3mil kwa mwaka.

More infomation njoo PM

Mbushuu! Mawasiliano yako vipi!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…