Nyumba inapangishwa ipo nyakato temeke - mwanza

Nyumba inapangishwa ipo nyakato temeke - mwanza

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Wakuu nina nyumba nyakato temeke, mita 200 tu toka barabara ya mwz-musoma,ina vyumba 3 kimoja self contained, ina fance ya ukuta, sebure kubwa, dinning, nje pana servant quota chumba na choo/bafu, car park kubwa,umeme na maji , kodi ni maeleewano poa sana. nahitaji mtunzaji mzuri. au PM email jifunze.learn@gmail.com
 
Unaonaje ukituwekea kianzio mkuu? Ili baada ya hapo maelewano yafanyike. Naamini hii itakupunguzia simu zitakazokufikia. Ni mtazamo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom