BeiNyumba ipo umbali wa mita 300 kutoka barabara ya mbezi-goba-masana
Nyumba ina vyumba viwili na master moja
Sitting room,Jiko,choo cha ndani na stoo
Kwa maelezo zaidi
0719573444 Call/Whatsapp
Unajipangia mwenyewe!!
Kweli kabisa ameamua kuturingishia, biashara gani isiyokuwa na beiMkuu, unapangisha au unaturingishia? Mbona hukuweka bei?