1.Nyumba iko maeneo ya nkuhungu-swai.
2.Nauli 400 kwa daladala,ukishuka unatembea kwa mguu dakika 6
3.ina vyumba vinne,kimoja master,public toilets,dining,stoo,jiko,sebule.vyumba vyake ni vikubwa
4.kodi 300,000/= kwa mwezi,kodi ya miezi 6!
5.kama utahitaji mtu,kuna mtu anataka chumba kimoja yuko tayari kuchangia 50 achukue chumba kimoja
6.Ni mpya haijawahi kaliwa kabisa
0767833496
0622111186