Nyumba inapangishwa chumba na baraza

Nyumba inapangishwa chumba na baraza

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
ipo changombe road , temeke jirani na njia panda kwenda tcc club . Inatazama bara bara ya changombe.
Ni chumba na baraza na choo/bafu binafsi ila jiko una share na mwenzako.
Iko ndani ya gate na parking ipo kwa gari lako.kodi ni laki 2 kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6, sipendi ya mwaka.
Maji yapo ya dawasco na meter ya luku ya ku share na mwenzako mmoja. Wasiliana na namba 0713 68 96 65
note: Itakuwa tayari september,1.
Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom