Nyumba inapangishwa boko

Nyumba inapangishwa boko

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Nyumba yenye vyumba viwili vya kulala kimoja kikiwa ni master, sebule + dining, jiko, na public toilet!
Nyumba ipo ndani ya gate na ipo maeneo ya boko califonia, karibu kabisa na barabara
 
Nyumba yenye vyumba viwili vya kulala kimoja kikiwa ni master, sebule + dining, jiko, na public toilet!
Nyumba ipo ndani ya gate na ipo maeneo ya boko califonia, karibu kabisa na barabara

boko haram hawap huko.
 
Picha zinakuja, gharama ni 300k per month, payment ni 6 months.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom