Nyumba inapangishwa arusha

Nyumba inapangishwa arusha

NICOD2002

Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
99
Reaction score
154
Kuna nyumba kubwa yenye vyumba vitatu ikiwa ni pamoja na master bed room, kitchen, dining room, na sitting room ya kisasa yenye fire place.

Pia ina ukuta mzuri kwa ajili ya ulinzi, parking garage yenye service bay ya gari moja pamoja na chumba kwa ajili ya mlinzi.

Nyumba ina miti mingi ikiwemo ya matunda na mazingira ya kuvutia. Maji na umeme vipo.

Nyumba ipo maeneo ya Ngaramtoni ya chini jirani na TPRI. Bei ni maelewano.
Kama unahitaji au una mtu anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0719-337243.
 
Mambo mkuu? Una nyumba:

- Kijenge/Moshono
- Vyumba 2
- Jiko
- Choo
- Tiles (sio lazima kote)
- Luku yake
- Ukuta
- Isiwe mbali sana (angalau 300m kutoka kituo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom