Habari za Muda huu. Nyumba inapangishwa Arusha Sakina White rose mita kadhaa kutoka Triple A. Nyumba hii ina Vyumba Vitatu,Choo na Siting Room, Bei yake ni Shilingi 250,000/ Kwa mwezi. Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na 0763 65 13 41 sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.