Mkuu nyumba bado mpya kabisa, wewe ndo wa kwanza. Dar kama unavyoijua maji ni ya kununua.Weka picha .. na je Maji yapo?? Nna laki mbili
Mkuu umbali sijajua bado,ntafatilia, miezi ni makubaliano, mtu akiwa tayari kuicheki anipmWeka details a kutosha
1. Nyumba ipo wapi? Kuna umbali gani mpaka barabara kuu?
2. Unapokea kwa miezi mingapi-mingap?
3. Mawasiliano yako/yake.
Ninakusaidia tu mimi sihitaji.
Duh usawa mgumu hadi malazi.Hapana mkuu ntapata tuUsawa mgumu laki na nusu nikuunganishe na muhitaji
Weka picha basiWakuu Nyumba bado IPO mnakaribishwa kuiangalia
Kiongoz mm ni fundi wa Mapazia na sofa, tupange kuhusu hiyo ya kutangaza kuweka bango. 0785462949Mi ni dalali nipe hiyo kazi nikutangazie ila nahitaji maelezo madogo kuhusu hiyo nyumba pamoja na picha
simu namba +255 718295182
Bango