golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
-
- #21
Masanjbeingpost: 21970913 said:Kuna dogo ananichekia pale sio mtunzaji wala sio msafi ndio nataka kumtoa. Umeme ndio nafatilia; maji serikali imeanza mchakato kule
.[QUOTEyO SANTANA, post: 21972386, member: 295354"]Hebu jamani tuweni makini basi. Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!! Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.
Kwa laki poa sana, ila tu mwenye nyumba angefanya hiki na kile kuboresha kungetamanika, kwanza usafi wa nje kidogo, ka landscape na maua kidogo, rangi nje kidogo, hata chokaa mbona poa kwa nje, piga na picha kwa ndani kulivyo na tumia camera nzuri zaidi, au simu yenye camera nzuri zaidi..Great thinkers ndio watu gani au malaika?!. Jenga yako upange bei
Loooh!!!Huko mpigi magohe ni Kibiti
Ni mpigi karibu na MagoheSamahani huko mpigi magohe ni wapi
Nyumba ni yangu ila siishi dar; hapo dogo anayekaa hapo amepanda kunde ila sio msafi na mtunzaji; ndio nataka atoke. Nyumba ina rangi ya kwanza nyeupe ndani na nje. Ila ntapaka nzuri ya mwisho. Ni kweli ina landscape ila ntaweka fresh. Karibu sana.
Kwa laki poa sana, ila tu mwenye nyumba angefanya hiki na kile kuboresha kungetamanika, kwanza usafi wa nje kidogo, ka landscape na maua kidogo, rangi nje kidogo, hata chokaa mbona poa kwa nje, piga na picha kwa ndani kulivyo na tumia camera nzuri zaidi, au simu yenye camera nzuri zaidi..
Karibu sana. Leo ntaenda huko ila kesho naondoka darText jpil yaani kesho napita hapo
Hebu jamani tuweni makini basi.
Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!!
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.
Nimeamini watu wengi hawaijui dar kuhusu swala la majiHiyo siyo nyumba ni sehemu ya kujificha.
Great thinkers ndio watu gani au malaika. Jenga yako upange bei[/QUOTE][QUOTEyO SANTANA, post: 21972386, member: 295354"]Hebu jamani tuweni makini basi.
Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!!
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.