golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Bado na nakaribia kuondoka ndio roho inaniumaPoa mkuu.
Kumbe bado hujapata mteja ee
Vuta subira mkuuBado na nakaribia kuondoka ndio roho inaniuma
Mkuu kila kitu kinafika; nakaribia kuondoka; sasa nataka kuondoka ikiwa ina MTU. Karibu sanaVipi Mkuu, Gari linaina a hapo...!?
Mbezi mwisho; unaingia kwa YusufuSamahani huko mpigi magohe ni wapi
Bora nikuhonge kuliko kuuza sina kawaida hiyoKama vipi niuzie mkuu umeme nitaweka mwenyewe
Nihonge mieBora nikuhonge kuliko kuuza sina kawaida hiyo
Bahati mbaya naondoka keshokutwaNihonge mie
Kuna dogo ananichekia pale sio mtunzaji wala sio msafi ndio nataka kumtoa. Umeme ndio nafatilia; maji serikali imeanza mchakato kule[/QUOTE][QUOTdogo ovason, post: 21970307, member: 367829"]Weka maji weka umeme ndiyo utangaze