10 M kwa nyumba kama nyumba inaweza ikawa ngumu kupata! Ila Pagale au Hizi gari aina ya Vitz,Passo, IST n.k. ..tena ya Mkononi(Iliyotumika) unapata kbs...!
Tena uwe Makini, mtu akikwambia Pagale analiuza kwa 10M, chunguza kwanza kama hajalichukulia mkopo kwa dhamana ya Pagale..! Usiingie kichwa kichwa.