Ipo nyumba (haijaisha ila standard Sana)
GOBA TEGETA A - 15 Minutes To Goba Njia 4
3 bedroom (1 Master)
2 kitchen la ndani na la nnje
Parking ya 2 cars (hata ma 3 yanakaa kiaina)
Shimo la choo (tayari)
Haijapauliwa haija malizika plaster baadhi ya sehem ila floor ndani tayari na nnje pia floor kote imepigwa (hamna udongo wala tope)
Ukubwa ni 13 x 20 (kadogo ila kamejishosheleza kila kitu)
Nguzo ya Umeme Iko Nnje Tu (Ni wire tu)
Bomba La Maji Dawasa Limepita Nnje Kwako.
Jamaa anauza ana malengo mengine.
Clean Documents (Mmiliki Ni Cousin Yangu)
DM for photos
Price: 28 M