NYUMBA INAHITAJIKA MAKULU DODOMA

NYUMBA INAHITAJIKA MAKULU DODOMA

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
757
Reaction score
1,065
Dalali yoyote mwenye nyumba yenye sifa hizi katika eneo husika kuna jamaa angu anahitaji hadi kufikia tarehe 1.

Vyumba 2 kimoja masta itapendeza zaidi japo hata Vi3 ni sawaa.

Sebule, Jiko na choo cha ziada.

Kodi ya mwezi isizidi laki3

PM tafadhari.
 
IPO mlimwa c vyumba vitatu kimoja Master 270000 maji bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom