Hosee Miguel
Member
- Feb 20, 2013
- 59
- 38
Wakuu salaam kwenu!
Nahitaji nyumba ya kupanga kwa kipindi cha mwaka mmoja jijini Dar iwe maeneo ya Sinza, Savei, Mwenge na au Ubungo!
Iwe na vyumba vitatu au viwili. Ikiwa inajitegemea ni vizuri zaidi! Mkataba wa upangaji uanze tarehe 1/1/2019 lakini tunaweza kukubaliana malipo yakafanyika kabla. Terms iwe miezi mitatu au sita!
Bajeti isizidi Shilingi 350,000/=kwa mwezi ikiwa exclusive 400,000/=kwa 3 bedroom!
Natanguliza shukraji za dhati kwenu nyote wadau!
PM for any feedback!!!