D DARARI MKALI Member Joined Aug 8, 2016 Posts 7 Reaction score 2 Aug 10, 2016 #1 Nyumba ina viumba 3 sitting room dinning room jiko masta choo cha ndan fensi umeme PIG 0719 514377
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,598 Reaction score 46,633 Aug 10, 2016 #2 Hivi nyie Madali mnajua hela zinavyotafutwa kwa tabu kweli,hiyo nyumba ndio 75mil?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,776 Reaction score 34,762 Aug 10, 2016 #3 hata mil.30 hupati mteja!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,317 Reaction score 103,579 Aug 10, 2016 #4 Kwa nyakati hizi Hupati hata milioni 15 hapo
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,598 Reaction score 46,633 Aug 10, 2016 #5 Root said: Kwa nyakati hizi Hupati hata milioni 15 hapo Click to expand... Dah Mkuu sio vizuri hivyo bana.
Root said: Kwa nyakati hizi Hupati hata milioni 15 hapo Click to expand... Dah Mkuu sio vizuri hivyo bana.