Nyumba hii haiuzwi ogopa matapeli

hiyo ni Bongo tu, ukifanya mchezo unauziwa nyumba ya urithi...
 
hahaaa last manth nilipita jngwani nakaona
tangazo mganga kutoka ufipa anarudisha upendo kwenye ndoa ,anaondoa nuksi,dawa ya mapenzi,ndoa iliyosambratika,kupata kazi et...
 
kuna yule mganga anatibu magonjwa meengi, hadi ukitaka kujiunga na freemason yeye yumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…