hahahahahaha!SENKSI*100000!Hahaha! Mpwa leo umeibuka na mziki mzito! Huko KIGOMA najua dada kashapata msaidizi. Kwangu mimi 95% ya marafiki zangu wana nyumba ndogo. Ndio maana leo nakuunga mkono 100%. NYUMBA NDOGO will always STAY. After all, ni kichocheo cha kuleta ufanisi nyumbani. Hahaha! Nigongee senksi mpwa!
hahahahahaha!SENKSI*100000!
BORA leo umekuwa mkweli!
ngulli namsubiri aungane na hii kauli.....hahahaha
hii post ya leo NI DEDIKESHENI KWA NGULI!i hope ataungana nayo hii hahahah!
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
Akibisha leo patafuka moshi. You knoo woram seeeing? Hahaha!
tumekuelewa festiledi!tutakuwa makini sana!nipe msimamo wako?are they here to stay?eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
Hahaha! Mpwa leo umeibuka na mziki mzito! Huko KIGOMA najua dada kashapata msaidizi. Kwangu mimi 95% ya marafiki zangu wana nyumba ndogo. Ndio maana leo nakuunga mkono 100%. NYUMBA NDOGO will always STAY. After all, ni kichocheo cha kuleta ufanisi nyumbani. Hahaha! Nigongee senksi mpwa!
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!
tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.
FL1...noted with thanks!
noted!i am getting something in my mind!katika vitu ambavyo siviwazagi kimojawapo ndio hiki,kum control mtu mzima ni jambo gumu kwa upande wangu, hata kama anayo nyumba ndogo lakini heshima ishike mkondo wake, yaani afanye lolote awezalo nicjue milele.
Akibisha leo patafuka moshi. You knoo woram seeeing? Hahaha!
Masikio yangu na macho yangu mwenzenu! unasemaje? siamini amini kama ndo wewe?
mmeanza kumpotosha nguli, he is about to reac his destination(.....) dont mislead him!!!