Nyumba chanika inauzwa 28,000,000

Nyumba chanika inauzwa 28,000,000

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba imejengwa kisasa ina vyumba vtatu vya kulala pamoja na master bedroom, sitting room,public toilet,
91f4b28f2bd8b0277b203c217d7de004.jpg
imeshatiwa umeme, kisima cha maj,
 
Shida ya kuiuza bei hiyo ni ipi hasa, au hapalaliki
 
Panafikika kwa gari hapo? Naona mazingira yake kama vile imebanwa!
 
Msolopa vipi..?? ebwana inaeneo kubwa kiasi gani hiyo nyumba, vipi una hati..??
 
Nymba haina hatimilik ya kutoka wizaran in such ina hati ya maandish kutoka serikal ya mtaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom