MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
Nyumba nimeilipia mwaka mzima, kodi inaisha November this year. Natafuta mtu wa kunirudishia miezi ilobaki. Natarajia kuhama end of March.
Details:
-- 3 Bedrooms, choo, bafu na jiko.
-- Iko ndani ya fense. Kuna nyumba nyingine moja ndani ya the same fense. Kuna ua unaoweza kulaza magari sita.
-- Kodi kwa mwezi 250,000/=
-- Eneo: River Side
If interested, ni PM. Mwenye nyumba yuko poa na hii arrangement.