Nyotaimori, kula sushi juu ya mwili

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Wajapani walianzisha hii tabia ya kula sushi kwa kutumia mwili wa mtu kama sahani na sasa inezagaa nchi nyingine.





 
Hiyo bongo ikija kuna watu watabakwa juu ya meza.
 
unaweza shangaa kidole kinapita maeneo ukiuliza utaambiwa natafuta chumvi huko
 
Duh! Nimekumbuka andiko hili, "Dunia inalewa-lewa kama mlevi, nayo inawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo itaanguka, wala haitainuka tena." - Isaya 24:20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…