Nyota inamaana gani?

Safi sana shem, lakini angalia jamaa alivyokubadili jinsia hapa!

Thanks for your advice man! Huwa siamini haya mambo thus why mwanzo nilitupa ile dawa! Let me try again and see!
 
Anasema 'eti alijifanya kumuomba Mungu'. Ndio maana hufanikiwi. Ulikuwa huna nia thabit, Mungu hachezewi.
 

Mtoa mada tilia manaani huu ushauri!
 

Kama mambo hayaendi na unadizi kuthulumiwa, inabidi uwapelekee tu wataalamu waisafishe nyota yako ili iwe inang'aa!
 
Thanks very much for your advice!!!
 
Mtegemee mwenyezimungu mmoja tu asiye na mshirika aliye kuumba wewe, nyota, mwezi na vingine vingi usivyo vijua.
Mueleze yeye shida zako kwani hakuna linalo mshinda.
 
Anasema 'eti alijifanya kumuomba Mungu'. Ndio maana hufanikiwi. Ulikuwa huna nia thabit, Mungu hachezewi.
mwambie maana imenenwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho avunacho, tena Mungu hazikiwi
 
Kama umehamua kuomba basi Omba kwakumaanisha na acha mambo ya kuangalia huku na kule. Huenda una roho yakukataliwa. Nenda kaonane na kiongozi wako wa ibada umueleze then ujicomit ktk maombi. Jesus is able no mountain which is so high that he can't move it!



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…