jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,127
- 1,635
Nikumbushe jina la Marehemu mke wa nyoshi. Dada alikuwaga mzuri yule
Rukia BrunoAlimtungia hadi wimbo!! Anna”
We nani alikutuma huko?
Anamtoto wake ni pisi hatari anaitwa brandy el sadaatNikumbushe jina la Marehemu mke wa nyoshi. Dada alikuwaga mzuri yule
Mwenzio nipo mamtoni nachanga$$$Huna hela wewe!! Lala uote ujikojolee kitandani!!
Kumchukia nyoshi na kumchukulia serious ni kujichosha.Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!” Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!! Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!! Tuna Choma mafuta muda [emoji383]!! Mamaae!! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku. Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
Rukia Bruno
Mwenzio nipo mamtoni nachanga$$$
Siungesema mapema tukaja hapo kuskiliza matusi,mana wengine hatuna pa kulala
Pumzika kwanza... makumbusho bar/lounge ganiNipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!” Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!! Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!! Tuna Choma mafuta muda [emoji383]!! Mamaae!! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku. Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
matusi yjapo au kaacha?Njoo basi my dear!! Nitagharamikia kila kitu mafuta ya gari yako kama huna gari nitalipia bolt. Just come bby Princess!!