omereyo JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 308 Reaction score 91 Jul 9, 2013 #1 Hivi sekta binafsi ndio imeongezwa mshahara tu ama vipi?serikalini tumebaki hoi.sasa kama mwajiri binafsi hana uwezo kulipa watumishi wake itakuwaje?
Hivi sekta binafsi ndio imeongezwa mshahara tu ama vipi?serikalini tumebaki hoi.sasa kama mwajiri binafsi hana uwezo kulipa watumishi wake itakuwaje?
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Jul 12, 2013 #3 Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40.
Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40.
M Massawe G. I Senior Member Joined Jul 24, 2012 Posts 113 Reaction score 13 Jul 13, 2013 #4 JamboJema said: Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40. Click to expand... Serekali inamtumia mfanyakazi wake kama punda huku anataka ajenge nchi nchi gani aijenge isiyo mnufaisha? Matokeo yake ni wizi rushwa na uzembe makazini migomo maandamano mauaji ya Albino, Kuchoma misitu n.k
JamboJema said: Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40. Click to expand... Serekali inamtumia mfanyakazi wake kama punda huku anataka ajenge nchi nchi gani aijenge isiyo mnufaisha? Matokeo yake ni wizi rushwa na uzembe makazini migomo maandamano mauaji ya Albino, Kuchoma misitu n.k