Nyongeza ya mshahara: Magufuli awapiga changa la macho

Hayo mabilioni yanayookolewa kila kukicha kwa kudhibiti ufisadi pamoja na matrilion tunayotangaziwa yanayokusanywa na tra yanakwenda wapi?
 
Hayo mabilioni yanayookolewa kila kukicha kwa kudhibiti ufisadi pamoja na matrilion tunayotangaziwa yanayokusanywa na tra yanakwenda wapi?
Mkuu, unaweza kuwa mtendaji mwenye weledi na juhudi kubwa katika idara unayoiongoza, lakini si kuongoza kampuni yote yenye idara zaidi ya moja, inabidi uwe na mbinu tofauti.
 
yani hii nchi sjui,,. gharama za maisha zinazid kupanda kila leo, mishahara iko vilevile na hakuna ajira mpya,, yan debe la lilikua 1,500 leo hii 4,500 ila mshahara uko vilevile
 
Nitamuona Wa maana tena kama ataongeza mishahara mwezi huu.
Kwa kuogopa nini? Nahisi akiongeza hela letu litaporomoka maradufu.

Majirani zetu wote isipokuwa Zimbabwe, hela zao zina thamani. Sijui sisi tuna mkosi gani
 
Hayo mabilioni yanayookolewa kila kukicha kwa kudhibiti ufisadi pamoja na matrilion tunayotangaziwa yanayokusanywa na tra yanakwenda wapi?

Yanaliwa na baadhi ya wajanja kwa kupitia mgongo wa semina, mafunzo na shughuli nyingine zinazofanana na hizo, kuna utitiri wa shughuli hizo unaendelea kila kukicha
 
Back
Top Bottom