mbaraka.m JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 209 Reaction score 37 Apr 22, 2013 #1 Naomba kwa anaefahamu kuhusu nyongeza kwa wafanyakazi wa serikalini.
K Katufu JF-Expert Member Joined May 8, 2012 Posts 523 Reaction score 309 Apr 22, 2013 #2 subiri Julai haraka ya nini, mpaka watu watakuambia uongo bure. we chapa kazi, mimi nami natamani kujua lakini kwa sasa sio rahisi tusubiri nyaraka za viwango vipya tutajua tu ndugu yangu
subiri Julai haraka ya nini, mpaka watu watakuambia uongo bure. we chapa kazi, mimi nami natamani kujua lakini kwa sasa sio rahisi tusubiri nyaraka za viwango vipya tutajua tu ndugu yangu
Z zandaboy Member Joined Oct 17, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Apr 22, 2013 #3 Ni kweli mkuu, vuta pumzi...ukweli utajulikana Julai kama nyongeza ni elfu 3, au..., si unajua ndio viwango vyao!!?
Ni kweli mkuu, vuta pumzi...ukweli utajulikana Julai kama nyongeza ni elfu 3, au..., si unajua ndio viwango vyao!!?