S shuhudia lihemla Member Joined Jul 12, 2014 Posts 61 Reaction score 17 Oct 1, 2015 #1 Wadau, Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta. Nitumie to WhatsApp 0766176001
Wadau, Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta. Nitumie to WhatsApp 0766176001
Makini Senior Member Joined Dec 23, 2014 Posts 154 Reaction score 59 Oct 7, 2015 #2 Nadhani kirahisi zaidi waweza kuzipata You Tube au kwa kudownload version ya MP3