ule wa...if you don't love me now....don't love me later....ni nani kauimba...? nataka niudediketi kwa.......
Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu:
Mimi napenda hizi zifuatazo:
1.''how to love''- Lil wayne
2. ''You the boss''-Rick Ross ft Nicki Minaj
3. Mavado ft akon-survivor
Endeleza mwenyewe hapa chini ili tuifurahie weekend pamoja!!
Hamna Msanii Wa US niliyekuwa Simpendi Ka Lil Wayne, Lakini Nilivyousikia Wimbo Wa How To Luv..Nikaanza Kufall in Lv kwny Nyimbo Zake...Hapo Aliandika..Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu:
Mimi napenda hizi zifuatazo:
1.''how to love''- Lil wayne
2. ''You the boss''-Rick Ross ft Nicki Minaj
3. Mavado ft akon-survivor
Endeleza mwenyewe hapa chini ili tuifurahie weekend pamoja!!