Nyimbo kali na hatari za Billboard na EDM hits (charts) pitia hapa hutojuta

mackie

Senior Member
Jan 26, 2017
141
197
kwa wale wapenzi wa nyimbo za billboard chart,UK.top 40, na Electronic dance music (EDM SONGS) mpya mpya na kali za hatari angalia hapa kisha tafuta upakue ..hutajuta...
N.B..sio kila wimbo mpya ni mkali ..kuna zingine zinakuwa mpya tu ila radha inakuwa ya kawaida....sasa hapa chini nimezipanga zote ni kali na za adabu ,remix za hatari pia zimefanyiwa ..kwa hiyo sampo hizo ni shida...hutojuta...








http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/25a8df9b6f2c0100776f9b4f1589e23d.jpg[/IMG
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/6b197d136234c245c977d547a4df909e.jpg







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…