Renee,crew-lost boys,wooohaaa-busta rhymes,tic toc,hell on earth ilikuwa full bata mchangani coco beach hadi alipohamia wzr mkuu wakapiga mrfk beach party watoto wa tmk mbagala walikuwa wanakuja kwa miguu watoto wa masaki wanakuja na magari ya wazazi basi raha tupu!!