Nyie watu mmezidi sasa!

Umeona enh?! Yaani Chato kumejengwa vitu na kuendelea kujengwa vitu ambavyo hata kwenye mikoa mikubwa hakuna! Tanga, Morogoro, Iringa, Tabora na manispaa zingine kadhaa hazina Bohari la Madawa wala International Airport lakini kijijini Chato vipo, na bado vinaendelea kujengwa, halafu anatokea mtu anajaribu kuhalalisha!
 
Hao jamaa wana wivu wa kike tu.

Nmeona kwenye taarifa Kigoma kumewekwa hayo mataa sehemu kibao tu hayana hata wiki.

Na waha walivyo wapuuzi,magari yakisimama pedestrians wanaenda kunengua badala ya kupita.
 
Mijitu ya hivyo siku inajikuta Chato kikazi au kibiashara sijui itaacha kutumia miundo mbinu hiyo,tuache ubaguzi Tanzania ni yetu sote
Kweli kabisa tuache ubaguzi
Nyazifa mhimu takribani zote zimetoka kanda pendwa.
 
Crazy crap
 
On top of that trillions that were spent in chato were not approved by parliament and that is STEALING taxpayers money.

My point is, Chato isn't the only place in Tannzania that needs development. Mtwara, Lindi, Manyara all needs development. Why International Airport in Chato? Only idiots will support the idea
 
Propaganda lumumba hazikufai ndugu hizo waachie kina SLOW SLOW.
 
Wachaga ni wabinafsi sana
Halafu kila siku ukute unaomba na kutamani sana upate bwana mchaga,maana ndio walio "well loaded with reds" na wanaojua kutafuta. Wacha wamebarikiwa na kukuacha mbali sana. Pole sana. Unatamani ungezaliwa na mchaga wewe,sema ndio hivyo tena.
 
Umewahi kusikia kuwa Lindi wakati wa Mkoloni nilikua inaitwa Paris of Afrika.
Kakiwa ka mji kazuri na kenye haki ya hewa nzuri na utajiri mkubwa wa kila kitu kuanzia Ardhi,madini ,gesi,mafuta,bahari mkubwa,wanyama n.k.
Je, kuna jitihada yoyote ya kuchota mabilion ili kuuinua mkoa huo ukilinganisha na hiyo Kata moja yenye watu wasiofika hata elfu kumi.

Anyway ,nchi hii tumeamua tuwe na katiba inayompa mtu mmoja umiliki wa nchi kwa miaka kumi. Anachofanya ni kutumia vizuri zamu yake kuwekeza milele na milele mpaka wajukuu watakuta mijihela huko ardhini ikiwasubiri.

Ni Dodoma Pekee ulijengwa na serikali kwa lengo la Kufanya kuwa Makao makuu kingine yote ni matokeo ya muda na shughuli za kiuchumi za wananchi wenyewe.

Labda watoe bajeti ya nchi na mipango yake kwa miaka 58 tangu Uhuru tuone ni eneo gani limemwagiwa mapesa mengi toka kwenye kodi ya watanzania kwa muda mfupi kiasi hiki.

Pesa za umma zigawanywe kwa usawa ili watu wabaki kujitafutia wenyewe kwa haki na sio wengine wanawekea chakula mdomoni wengine wanafungwa mikono na midomo.
Hata Roma haikukengwa kwa siku Moja.

Serikali za majimbo ni bora sana mana watu wanajisimamia wenyewe kujiletea maendeleo sio kuchota hela za Mafia unapeleka Mbambabai wakati watu wa mafia hawana hospitali na shule ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…