Hata mi nawapenda...kuna mmoja huyo rafiki yangu I real enjoy kwa kweli
Afuu wana roho nzuri sasa
Aisee hao watu wanaroho mbaya sana,wachoyo,wabinafsi,wabaguzi sanaHata mi nawapenda...kuna mmoja huyo rafiki yangu I real enjoy kwa kweli
Afuu wana roho nzuri sasa
I told youUkweli ni wapole sana itakuwa unaenjoy kampani ya huyo mmakonde wako.
Tuchekeshe kidogo kuthibitisha usemi wako.Wamakonde Hatuna roho mbaya ni watu wacheshi Sana .
Ucheshi wenu upo mpaka kitandani...Wamakonde Hatuna roho mbaya ni watu wacheshi Sana .