Nyie Wamakonde Vipi?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
3,704
2,349
Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara vituko. Nani yuko huku umakondeni tusocialize sku mbili hizi wakuu? Ladies please, kampani za wanaume tupu hazinogi!
 
Kingine nilichogundua uwongo kwao kawaida tu, yaan akikwambia atadanyia kazi jambo flani na asilifanyie pasipo sababu za msingi ukimhoji ye anachekelea tu. Wasiosima au kujichanfanya ndiyo wana ukabila, nadhan wanajihisi inferior. I like them though. Wadada bado sijawaoneni
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom