Nyie wadada Mungu anawaona!

Nahitaji namba zao za simu tafadhali. Maana Nahitaji mfanyakazi wa ndani wa kike. Mwenye namba zao anitumie. Hii ndio faida ya kuwa mwana JF
 

zama za mwisho hizi baba, wadada sikuizi akili zimehamia kwenye makalio na wakaka nao wakipishana na hivyo vibindo nkoi akili zao nao zinahamia kichwa cha chini, inachotokea hapo unakijua ,,,, maombi yanahitajika
 
Apps za android hizo zinatengeneza.
Au kavaa zile skin za mabox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…