Nyie mabinti tusichoshane ki hivyo

Nyie mabinti tusichoshane ki hivyo

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,200
Leo kaja demu ananiuliza baby unaujua wimbo wa Salome nikamjibu ndio Kwan umekuaje akanijibu eti anaupenda anaaomba nimuimbie nikaanza kushuka mistari ya kufa mtu kama.

Salome juu ya kaburi lako nalia aaaahhhh kilio nakisikia kabla sijajalizia anadakia et babi sio huwo nikamjibu kumbe unaujua kwa nn husiimbe mwenyewe ili kukata soo akajiongelesha kumbe n.a. ww ni mkari wa kuimba babi.

SIPENDI UJINGA MIMI
 
Hahaa mlikua mmepata viloba kidogo mkuu!
 
Sio lazima upost kila siku
 
1474841902776.jpg
 
Iv ni nani aliyeanzisha ichi kimsemo 'sipendagi ujinga' maana saiv imekua kama kamchezo mtu anatuma sms chini anaandika sipendagi ujinga.. sasa nasema iv atakaye andika sms halaf akaandika hapendi ujinga sms yake sitaisoma. maana sipendagi ujinga mimi.
 
Hahaha umetisha mkuu
 
Huu upuuzi wenu muupeleke facebook, sio huku
 
Iv ni nani aliyeanzisha ichi kimsemo 'sipendagi ujinga' maana saiv imekua kama kamchezo mtu anatuma sms chini anaandika sipendagi ujinga.. sasa nasema iv atakaye andika sms halaf akaandika hapendi ujinga sms yake sitaisoma. maana sipendagi ujinga mimi.
Na mimi comment yako nimesusa kuisoma, maana sipendagi ujinga mimi..
 
Back
Top Bottom